# Mruhusu Daudi awe mbele yangu "Kusimama mbele yangu" inamaanisha kuwa aendelee kumtumikia Sauli" # amepata kibali machoni pangu "Nimependezwa naye" # Roho ya ubaya kutoka kwa Bwana. "roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo" # kiwapo juu ya Sauli Ikamsumbua Sauli" # Sauli angeburudishwa na kupona "Muziki ungemfurahisha Sauli na kumfanya ajisikie vizuri"