# Basi Hapa msimuliaji anaanza kutuambia sehemu mpya ya simulizi. # roho ya ubaya kutoka kwa Bwana "roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo" # Haya bwana wetu hebu sasa amuru Watumishi wanamchukulia Sauli kama bwana wao. # amuru watumishi wako walio mbele yako wamtafute "tuamuru sisi watumishi wako tunaokutumikia tumtafute" # yuko juu yako "anakusumbua wewe"