# Utamlilia Sauli kwa muda gani, ikiwa nimemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli? "Acha kumlilia Sauli niliyemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli" # Ijaze pembe yako mafuta Pembe ilitumika mara nyingine kama chupa. Chupa ya mafuta ilitumika kwa ajili ya kumpaka mafuta mfalme, kama Samweli alivyofanya kwa Daudi.