# machoni pako mwenyewe "kwa mawazo yako mwenyewe" # je, hukufanywa mkuu wa kabila za Israeli? Samweli anatumia swali hili kumueleza Sauli ni vitu vingapi Mungu amempa. "Mungu amekufanya kuwa mtawala wa kabila za Israeli" # Kwa nini basi haukuitii ... ukafanya uovu machoni pa Bwana? Samweli anauliza swali hili kwa kumkemea Sauli kwa kutomtii Mungu. # Sauti ya Bwana "Vitu ambavyo Bwana ameamuru" # bali badala yake ulishikilia nyara Samweli anamshitaki Sauli moja kwa moja kwa kutokutii. # Nyara "Nyara" ni vitu unavyovichukua toka kwa adui. # Uovu machoni pa Bwana "ambayo Bwana anayaona kuwa ni uovu"