# Neno la Bwana likamjia "Bwana akasema maneno yake" # Neno la Bwana "ujumbe wa Bwana" # Inanihuzunisha "Nina huzuni" # aligeuka nyuma asinifuate "Aliacha kunifuata" # hakutekeleza maagizo yangu "hakutii yale niliyomuamuru ayafanye" # Samweli alikasirika Samweli alikasirika kwa sababu ya kutotii kwa Sauli.