# Niliwatoa Israeli kutoka Misri "Niliwatoa watu wa Israeli kutoka Misri" # Leo "sasa" # Mkono wa Wamisri ... mkono wa falme zote "Mkono" inamaanisha mguvu. "Nguvu za Wamisri ... nguvu za mataifa yote" # Tuwekee mfalme juu yetu Tupe mfalme wa kutuongoza. # jihudhurisheni wenyewe mbele za BWANA kwa kabila na jamaa zenu "Wakusanye makabila na jamaa na msimame mbele za Bwana"