# Ng'ombe wawili wanyonyeshao "Ng'ombe wawili wenye ndama ambao bado wananyonya" # Mumbo ya majipu yao "Mfano wa majipu yao" # Majipu Huuu ni ugonjwa wa ngozi. # Ng'ombe waliondoka moja kwa moja kuelekea Beth Shemeshi Ng'ombe wanaonyonyesha huwarudia ndama wao lakini ng'ombe hawa walikwenda Beth Shemeshi. # Wakipiga kelele walipokuwa wakienda Kupiga kelele ni milio waliyokuwa wanatoa ngombe sauti zao. # hawakugeuka upande wa kushoto au kulia "Walikwenda moja kwa moja mbele"