# Nyinyi wote Sehemu tatu zilizopita zilishughulikia watumwa, wake, na waume. Sehemu hii inazungumzia makundi haya yote pamoja na waumini wengine wote. # Chuki Hii ina maana ya kusema au kufanya kitu kibaya kwa mtu mwingine. # kinyume chake "kwa njia tofauti" # wewe uliitwa Mungu alikuita. # ili urithi baraka "ili kwamba Mungu atakubariki"