# Kwanjia ile ile Kama vile wakezenu wanapaswa kukuheshimu. # kulingana na elimu kama mpenzi dhaifu wa kike "tambua kwamba mwanamke ni mpenzi dhaifu" # Fanya hivi Hapa "hivi" inahusu njia ambazo waume wanapaswa kuwatendea wake zao. "Heshimu amri hizi." # ili kwamba sala zako zisizuiliwe Ili "kuzuia" ni kuzuia, au kuzuia sala za mtu kutotimizwa. AT "ili kwamba hakuna kitu kinachozuia sala zako."