# Sasa wewe ni mtoto wake Hii inamaanisha wake wa Kikristo ni kama watoto wa kiroho wa Sara kama wanafanya kama yeye.