# Wageni na watazamaji Maneno haya mawili yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Petro anawatumia pamoja ili kusisitiza kuwa nyumbani kwao halisi ni mbinguni si duniani. # vita dhidi ya nafsi yako "kutafuta kuharibu imani yako katika Mungu"