# Ikawa Neno hili hutumika kuonyesha tukio la muhimu katika historia. Waweza kutumia neno jingine linalofaa katika lugha yako # Jioni Tazama 18:27 # BWANA, Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka, na wa Yakobo Hapa "Israeli" inamaanisha Yakobo. Mungu alilibadilisha jina la Yakobo likiwa Israeli (Mwanzo 32:28). Pia Mungu aliwaita wana wa uzao wa Yakobo "Israeli." # na ijulikane leo kuwa "kuwafanya hawa watu wajue leo" # Nisikie ... nisikie Neno hili limerudiwa kwa ajiloi ya kutia msisitizo # umerudisha mioyo yao kwako tena "umewafanya wakuabudu tena"