# Ndiye wewe bwana wangu Eliya? "Eliya Bwana, umekuja!" # bwana Eliya Neno "bwana" limetumika kuonesha heshima # Nenda umwambie bwana wako, 'Tazama, Eliya yuko hapa." Neno "bwana" linamaanisha Ahabu # Tazama Neno "Tazama" hapa linonesha msisitizo wa kile kinachofuata.