# Yeroboamu Yeroboamu mwana wa Nebati ndiye aliyekuwa mfalme wa kwanza wa dola ya kaskazini ya Israeli kati ya mwaka 910 - 900 KK. Yeroboamu mwingine, mwana wa Yehoashi, alitawala Israeli baada ya miaka 120 # Misri, Wamisri Misri ni nchi iliyo kasikazini mwa Afrika, kusini magharibi mwa nchi ya Kanaani. # kifo. kufa, aliyekufa Neno hili linatumika kuonyesha kifo cha kimwili na cha kiroho.