# Akamwabia Neno "a" linamaanisha Ahiya # Nitaugawa ufalme Tazama 11:11 # mkono wa Sulemani "mamalaka ya Sulemani # Sulemani atabaki "Mwana wa Sulemani a" au "Uzao wa Sulemani utabaki" # kilicho chema katika macho yangu "Ninachokiona kuwa sawa"