# wote ulimwenguni "watu kutoka sehemu zote" # ilitafuta uwepo wa Sulemani "walitafuta kumtembelea Sulemani" # ambayo Mungu alikuwa ameweka katika moyo wake "ambacho Mungu alikuwa ameweka katika akili zake" au "ambacho Mungu alikuwa amempatia"