# makundi ya watu, watu wengi, watu, mtu Hayao ni , makundi ya watu wenye lugha moja na utamaduni mmoja. # Mwamori Waamori walikuwa watu wenye nguvu ambao walikuwa wanatokana na mjukuu wa Nuhu aliyeitwa Kanaani. # Mhiti Wahiti walitokana na uzao wa Hamu kupitia mwanae Kanaani. Baadaye walikuja kuwa dola kubwa ambayo leo iko kwenye eneo la Uturuki na Palestina y a kaskazini. # Waperezi Waperezi walikuwa moja ya makundi ta watu waliokuwa katika nchi ya Kanaani. Tunafahamu machache sana juu ya mababu wa hili kundi na hata sehemu hasa walikoishi huko Kanaani # uzao, walitokana n a "uzad" ni mtu ambaye ana uhusiano wa moja kwa moja au uhusiano wa damu na mtu katika historia. # Yebuse, Wayebuse Wayebuse walikuwa ni moja ya makundi ya watu walioishi katika nchi ya Kanaani. Walitokana na mtoto wa Hamu aliyeitwa Kanaani. # kazi, wafanya kazi Neno "kazi" linamaanisha kufanya kazi fulani ngumu.