# Sentensi unganishi Mwendelezo wa wakuu wa ofisi ya Sulemani # Beni Abinadabu ... Beni Geberi ... Yairi ... Manase ... Ahinadabu ... Ido Haya ni majina ya wanaume # Tafathi Hili ni jina la mwanamke # Dori ... Bethi Shani ... Zarethani ... Yezreeli ... Bethi Shani hadi Abeli Mehola ... Jokimeamu ... Ramothi Gileadi ... Arigobu ... Bashani ... Mahanaimu Haya ni majina ya mahali