# Maelezo ya Jumla Yohana anaendelea kuwafundisha wasomaji wake kuhusu upendo wa Mungu na upedo ambao waaminio wanapaswa kuwa nao kwa sababu mekuwa na hali hii mpya kutoka kwa Mungu # amezaliwa na Mungu "ni mwana wa Mungu" # Kwa hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu: tunapompenda Mungu na kutekeleza amri zake. "Tunapompenda Mungu na kutenda atuamruyo, ndipo tunatambua kwamba tunawapenda watoto wake" # Hivi ndivyo tunavyompenda Mungu kwamba twazishika amri zake. "Kwa sababu tunapofanya atuamruyo, hilo ndilo pendo la Mungu" # Na amri zake ni nyepesi. "Na anayotuamru siyo gumu" # nzito "lenye kuponda," "lenye kukandamiza" au "gumu"