# inampasa ayatambue Nabii wa kweli au mtu wa kiroho atayakubali maandiko ya Paulo kuwa yanatoka kwa Bwana # mwacheni asitambuliwe Hapa inaweza kueleza kwa muundo tendaji kuwa "msimtambue mtu huyo"