# Kwa kuwa sasa tunaona kama kwa kioo Vioo nyakati alizoishi Paulo vilitengenezwa kwa chuma kilichopakwa rangi hivyo vilionesha taswira yenye giza tofauti na vioo vya glass vya siku hizi # sasa tunaona Hapa inaweza kumaanisha 1) "sasa tunamwona Kristo" au 2) "sasa tunamwona Mungu" # uso kwa uso Tutamwona Kristo uso kwa uso. Hapa inamaana kwamba tutakuwa pamoja na Kristo katika hali ya mwili. # nitajua sana " nitamjua Kristo kwa ukamilifu" # kama na mimi ninavyojulikana sana katika muundo tendaji inaweza kuelezewa "kama Kristo avyonifahamu kikamilifu" # Lakini sasa mambo haya matatu yanadumu " Nimuhimu kwamba...sasa" # imani, tumaini lijalo, na upendo " tunamwamini Kristo, tukijua kwamba atafanya vitu vyote alivyoahidi, tunampenda na tunapendana sisi kwa sisi"