# mkutanikapo mpate kula kusanyikeni kula chakula pamoja kabla ya kusherekea chakula cha Bwana # ngojeaneni " Kabla ya kuanza kula wasubirie na wengine hadi wafike" # ale nyumbani kwake "ale kabla ya kuhudhuria mkutano huu" # isiwe kwa hukumu " lisiwe tukio la Mungu kuwaadhibu"