# kama ninafanya hivi kwa hiari "kama nitahubiri kwa hiari" # kwa hiari "kwa furaha" au "kwa sababu ninataka" # Bado nina jukumu nililopewa kuwa wakili katika muundo wa kitenzi tendaji:- "Lazima nifanye kazi hii ambayo Mungu alinip ili kuikamilisha" # thawabu yangu ni nini? " Hii ndiyo thawabu yangu." # kwamba nihubiripo, niweze kutoa injili bila malipo "Thawabu yangu kwa ajili ya kuhubiri ni kuwa nihubiri bila kupokea malipo" # kutoa injili "kuhubiri injili" # na hivyo situmii haki yangu yote ya injili "kwa hiyo siwaombi watu kunisaidia ninaposafiri na kuhubiri"