# usimfunge Musa alizungumza na wana wa Israeli kama anazungumza na mtu mmoja, hivyo amri hii ipo katika umoja. # Ni kweli kwamba hapa Mungu anajali ng'ombe? "Mnapaswa kujua bila kuambiwa kuwa siyo ng'ombe ambaye Mungu anamjali zaidi." # Je hasemi hayo kwa ajili yetu? " Badala yake, Mungu alikuwa anasema kuhusu sisi." # kwa ajili yetu Hapa "yetu" inarejea kwa Paulo na Barnabas. # ni neno kubwa tukivuna vitu vya mwilini kutoka kwenu? "Mlipaswa kufahamu kabla hata ya kuwaambia kuwa si jambo kubwa kwetu tukipokea msaada wa vitu kutoka kwenu."