# Sentensi Unganishi Paulo anatoa maelekezo mahususi juu ya ndoa # Sasa paulo anatambulisha mada mpya katika mafundisho yake # Vitu mlivyoandika kwangu Wakorintho walikwisha andika barua kwa Paulo kuomba kupatiwa majibu kuhusu baadhi ya maswali. # kwa mwanaume Hapa ina maanisha mwanume mwenzi au mme # Lakini kwa sababu ya majaribu kwa matendo mengi maovu 'Lakini kwa sababu Shetani anawajaribu watu kutenda dhambi ya uzinzi'