# Hamjui kwamba " nataka niwakumbushe kuwa..." # anayeungana na kahaba amekuwa mwili mmoja naye " mwanaume anayeunganisha mwili wake kwenye mwili wa kahaba , miili yao inakuwa mwili mmoja" # Lakini anayeungana na Kristo amekuwa roho moja na yeye " Bwana anapounganisha roho yake kwenye roho ya mtu, roho zao zinakuwa roho moja."