# 1 Wakorintho 03 Maelezo ya Jumla ### Muundo na upangiliaji Baadhi ya tafsiri huweka nukuu kutoka kwa Agano la Kale upande wa kulia zaidi kwenye ukurasa ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa maneno yaliyotajwa kwenye mistari ya 19 na 20. ### Dhana maalum katika sura hii #### Watu wa kimwili Waumini wa Korintho walikuwa hawajakomaa kwa sababu ya vitendo vyao vibaya. Anawaita "wa kimwili," maana matendo yao ni kama ya wasioamini. Neno hili linatumika kwa kinyume na wale ambao ni wa "kiroho." Wakristo wanaofuata "mwili" wao wanatenda upumbavu. Wao wanafuata hekima ya ulimwengu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/foolish]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/wise) ### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii #### Mifano Kuna mifano nyingi katika sura hii. Paulo anatumia "watoto" na "maziwa" ili kuonyesha kutokomaa kwa kiroho. Anatumia mifano nyingi na kumwagilia maji ili kuelezea majukumu yake na Apolo katika kukuza kanisa la Korintho. Paulo anatumia mifano mingine katika kusaidia kufundisha ukweli wa kiroho kwa Wakorintho na kuwasaidia kuelewa mafundisho yake. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor) ## Links: * __[1 Corinthians 03:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__