# Maelezo ya Jumla Hapa "sisi" inajumlisha Paulo na wasikilizaji wake. # tuliyopewa na Mungu "Kwamba Mungu alitupatia bure " au "kwamba Mungu ametupa kabisa bila malipo" # Roho hutafasiri maneno ya kiroho kwa hekima ya kiroho Roho Mtakatifu huwasiliana kweli wa Mungu kwa waumini katika maneno ya rohoyenyewew na hutupa yenyewe hekima yake yenyewe. # hutafasiri "fafanua"