# Maelezo kwa Ujumla Hapa neno "sisi" linawakilisha Paulo na walimu wengine wa Biblia. # Kristo aliyesulubiwa "Kuhusu Kristo, ambaye alikufa msalabani." # Kikwazo Ni kama mtu anaweza kujikwaa juu yakizuizi barabarani, vile vile ujumbe wa wokovu kupitia kusulubiwa kwa Kristo ulikuwa kikwazo kwa Wayahudi wasiweze kuamini katika Yesu. "Kutopokelewa" au "Kikwazo sana"