# sentesi unganishi Paulo na Sosthenes wanato salamu za kwa waumini wa kanisa la Korintho # Maelezo ya Jumla Maneno kama vile "ninyi" and "yanu" yanahusiana na wale ambao paulo aliwaandikia na alitumia kiwakilisha cha wingi. # Paulo...kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho Hii ilikuwa ni namna ya mwandishi wa barua kujitambulisha kwa wasomaji wake : " mimi, Paulo niliwaandikia barua hii ninyi munaomwamini Mungu mlioko Korintho" # Sosthene ndugu yetu Hii inaonesha kuwa Paulo na Wakorintho wanamfahamu vema Sosthene:" Sosthene ndugu yetu ambaye mimi na ninyi tunamfahamu" # wale ambao wamewekwa wakfu katika Yesu Kristo Neno "kuwekwa wakfu" linamaana ya watu ambao Mungu amewapa kibali cha kumtukuza yeye. " hii ni kwa wale ambao Yesu Kristo amaewatenga kwa ajili ya Mungu" au " watu ambao Mungu amaewachukua na kuwatenga kwa ajili yake mwenyewe kwa wanamwamini Yesu Kristo" # ambao wameitwa kuwa watu watakatifu Hii inaweza kuelezewa kwa kitenzi tendaji: " ambao Mungu amewaita kuwa watu watakatifu" kuna maana mbili zinazokubalika. 1) " wale ambao Mungu amewatenga kwa ajili yake mwenyewe" 2) wale ambao Mungu amewaita kujitenga na dhambi" au ambao Mungu amewaita wajitenge na matendo ya dhambi" # Bwana wao na wetu Yesu ni Bwana kwa Paul na kwa Wakorintho na ni Bwana kwa makanisa yote na watu wote