# Abishai ... Zeruia Haya ni majina ya wanaume. # Waedomi elfu kumi na nane "Waedomi 18,000" # Bonde la Chumvi Hili ni jina la bonde katika ya Edomu na Yuda uliyo tumika kama uwanja wa pambano. # vikosi makundi ya wana jeshi yaliyo pangwa sehemu maalumu. # Waedomi wote wakawa watumishi wa Daudi "watu wa Edomi walilazimishwa kumkubali Daudi kama mfalme na kulipa pesa kwa serikali ya Daudi kila mwaka"