# tembea kama wanaume vipofu ... waliomwagwa kama vumbi ... sehemu zao za ndani kama samadi misemo hii mitatu inaashiria ulinganifu kuonyesha nini vilicho nacho kikawaida. # moto wa wivu wake Hii inahusu nguvu ya hasira ya Yahweh.