# Yahweh ameandaa sadaka na amewatenga wageni wake Lugha hii inaonyesha mwisho wa mpango wa Mungu na jinsi anavyowatumia adui za watu wake kukamilisha makusudi yake. # Katika siku ilie "Katika siku ya Yahweh" # kila mmoja amevaa mavazi ya kigeni maneno haya yanaonyesha kwamba Waisraeli walivaa nguo sawa na za wageni kuonyesha huruma kwa mila zao na kwa ibada zao kwa miungu ya kigeni. # Katika siku ile "Katika siku ya Yahweh"