# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa # wamesimama katika miguu yao "kutembea tembea" # na mkono wa mwingine utainuliwa kinyume cha mkono wa mwenzake Kila mtu atamshambulia mwenzake.