# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa # Azali Hili ni jina la mji au kijiji mashariki ya Yerusalemu. # watakatifu Pengine hii inataja malaika wa Mungu.