# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaendelea na sehemu inayozungumzia shambulio lijalo dhidi ya Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa mji. # hema za Yuda Hapa "hema" uwakilisha nyumbani, na nyumba zinawawakilisha watu wanaoishi ndani yake. # nyumba ya Daudi Maana pendekezwa 1) wazao wa Daudi au 2) daraja la watawala. # malaika wa Yahwe Huyu ni malaika wa Yahwe aliyetumwa kuwalinda watu.