# Maelezo ya Jumla: Mfano wa wachungaji na kondoo unaendelea. # kondoo walionona Kondoo mwenyew afya, aliyekua vizuri. # atapasua kwato zao pengine kama tendo la ukatili