# Maelezo ya Jumla: mfana kuhusu wachungaji na kondoo unaendelea. # kondoo walioamriwa kuchinjwa "kundi la kondoo waliokuwa wamekusudiwa kuchinjwa" # gongo gongo ni miti inayotumika kwa makusudi mbalimbali, ikiwemo kuwaongoza watu. Yaweza kuwa na aina mbalimbali za ncha. # upendeleo Matoleo mbalimbali yanafasiri neno la Kiebrania katika mazingira haya kama "neema" na "uzuri" # Umoja Hili ni wazo la udugu kati ya sehemu mbili za Israeli, ufalme wa kaskazini na ufalme wa kusini. # sikuwavumilia tena "Sikuweza kuwavumilia tena wenye kondooo waliokuwa wamewaajiri"