# Piga kelele kwa furaha, ewe binti Sayuni! Piga kelele kwa shangwe, ewe binti Yerusalem! Mistari hii miwili inamaanisha jambo moja na inazidisha agizo la kufurahi. # binti Sayuni... binti Yerusalem "Sayuni" ndiyo "Yerusalemu." Nabii anauzungumzia mji kanakwamba ni binti. # juu ya punda, juu ya mwanapunda Vifungu hivi viwili kimsingi vinamaanisa jambo moja na vinamrejerea mnyama mmoja. Mstari wa pili unaweka wazi kwamba huyu ni mwanapunda. # kukatilia mbali kibandawazi kutoka Efraimu "Kuharibu vibandawazi vitumikavyo kwa vita katika Israeli" # farasi kutoka Yerusalemu "farasi wa vita katika Yerusalemu" # upinda utakatiliwa mbali kutoka katika vita Hapa upinde unawakilisha silaha zote zitumikazo kwa vita. "Silaha zote za vita zitateketezwa" # Maana atanena amani kwa mataifa Hapa tendeo la kutangaza amani linawakilisha tendo la kufanya amani. # utawala wake utakuwa kutoka bahari hata bahari, na kutoka katika mto hadi miisho ya dunia "ufalme wake utakuwa juu ya dunia yote!"