# kama siku za kale "kama katika wakati uliopita" # Nitakuwa pamoja na masalia ya watu hawa "Sasa nitawabariki watu hawa" au "Sasa nitawatendea watu hawa kwa upole" # mbegu ya amani itapandwa "Nitawafanya kuwa katika amani" # Hili ni tamko la Yahwe Kifungu hiki kwa kawaida kimetafsiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria. # nchi itatoa mazao yake "kutakuwa na kuvuna kwema katika mashamba" # mbingu zitatoa umande wake Umande kwa kawaida ilikuwa ni ishara ya mafanikio. Yaani "kuwatuwa na mvua nyingi" # kuyarithi yote haya "kuwa na haya yote wakati wote"