# Hawa ni wana wa mafuta mabichi ya mizeituni Hii ni njia ya kishairi ya kusema, "watu waliotiwa mafuta" # simama mbele Taarifa hii inawakilisha wazo la kutumikia.