# Maelezo ya Jumla: Malaika wa Yahwe anaendelea kuengea na Yoshua. # wenzako wanaoishi nawe "makuhani wengine wanaoishi nawe" # mtumishi wangu tawi Jina "tawi" linapaswa kutafisiriwa vilevile kama tawi la mti. Inamaana kuwa mtumishi wa Yahwe atakuja kutoka kwa Yahwe kama tawi litokavyo katika mti. # macho saba Hizi ni pande saba. # chonga "chora" # andishi maneno yaliyoandikwa juu ya kitu fulani au kukatwa katika kitu fulani # hili ni tamko la Yahwe wa majeshi Kifungu hiki mara nyingi hufasiriwa kama "asema Yahwe"