# imeteswa na kudhurumiwa Maana pendekezwa 1) "umekuwa na hasira juu(UDB) au 2) "imekuwa ikitendewa bila heshima" # nena nami, kwa maneno mazuru, maneno ya faraja Vifungu hivi vinazungumzia maneno ambayo ni mema na ya faraja.