# Sentensi kiunganishi Paulo anaendelea na maagizo yake kwa kumwelekeza Tito kile anachotakiwa kufundisha # Hadithi za Kiyahudi Hii inaonyesha kwa mafundisho ya uongo ya Wayahudi # kurudisha nyuma ukweli Paulo anaongelea ukweli kana kwamba ni kitu kilicho katika mwendo ambacho chaweza kurudishwa nyuma. "Kukataa ukweli"