# Badala Paulo anabadili hoja kutoka mada inayohusu mambo yasimpasa mzee kwenda kwa mambo anayopaswa kufanya # Rafiki wa wema "kukumbatia mambo mazuri na tabia nzuri" # kusimamia (kushikilia kwa nguvu) Paulo anazungumzia hali ya kujitoa katika imani ya Kikristo kama kushikilia imani katika mikono. "kujitoa kwa " au " kuwa na ufahamu mzuri wa.." # Mafundisho mazuri Lazima afundishe iliyo kweli kuhusu Mungu na mambo mengine ya kiroho.