# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke. # Dada yangu, bibi arusi wangu Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:9 # ni bustani ilio fungwa Mpenzi anamlinganisha mwanamke na bustani iliyo fungwa kwasababu yeye ni wake tu na anaweza mfurahia. Anaweza pia kusema kuwa yeye bado ni bikra ambaye bado hajamfurahia. # chemchemi iliyo fungwa kwa muhuri Mpenzi anamlinganisha mwanamke na chemchemi iliyo fungwa kwa muhuri kwasababu zile zile alizo mlinganisha na bustani iliyo fungwa. # Matawi yako ... aina tofauti za manukato Mpenzi anamuelezea jinsi mwanamke alivyo mzuri kwa kumfananisha kama bustani iliyo jaa vitu vizuri. # kichaka sehemu miti mingi inapo ota pamoja # yenye matunda tofauti "matunda mbali yaliyo bora" # hina Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12 # Nardo Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12 # Zafarani kiungo kinacho toka kwenye sehemu iliyo kauka kutoka kwenye uzi wa chano katikati ya ua. # mchai Hili ni jani lenye harufu nzuri ambalo watu wanatumia kutengeneza mafuta ya upako. # mdalasini kiungo kilicho tengenezwa na ganda la mti ambalo watu utumia kupika # manemane Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12 # aloes aina kubwa ya mmea wenye harufu nzuri sana # aina zote za uvumba "uvumba bora"