# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kuongea na mwanamke. # Njoo nami ... shimoni mwa simba Mpenzi anataka bibi arusi wake aje nae kutoka sehemu ya hatari. Hii ni fumbo na wala wapenzi hawapo kwenye hii milima au shimoni. # kutoka Lebanoni "mbali kutoka Lebanoni" # Amana jina la mlima karibu na Damsko # Seneri jina la mlima karibu na Amana na Herimoni. Watu baadhi wanadhani hii ya husu mlima mmoja na Hermoni. # shimoni Sehemu simba na chuwi wanaishi, kama mapango au mashimo kwenye ardhi