# Mimi ni ua katika tambarare Mwanamke anajilinganisha na ua katika tambarare # Tambarale Sehemu ya ardhi ambayo iko sawa, haina miti, na huota aina nyingi za majani na maua # Nyinyoro katika bande Mwanamke anajilinganisha mwenyewe na nyinyoro katika bonde ni sawa na kujilinganisha mwenyewe na maua yaliyo katika tambarale # Nyinyoro ua lenye harufu nzuri lililo na umbo kama tarumbeta # Bonde Hii ina maana ya sehemu kubwa iliyo sawa katikati ya milima # kama nyinyoro ...mwananchi wangu Mwanaume ana maanisha mwanamke huyo ni zaidi ya mzuri na wathamani kuliko wanawake wadogo wote, kama nyinyoro ni zaidi ya ua zuri na lenye thamani kuliko miiba yote ya porini iliyo lizunguka # Mpenzi wangu Ona ilivyo tafsiriwa hii katika 1:9 # Binti wa mwananchi wangu "Wanawake wadogo wengine"