# Boazi akamchukuwa Ruthi "Boazi alimuoa Ruthi" # Akalala naye "Akafanya naye mapenzi" # ambaye hajakuacha leo bila ndugu wa karibu "ambaye leo amekupatia ndugu mzuri wa karibu"