# amelala miguuni mwake Ruthi alilala miguuni mwa Boazi. Hawaku fanya mapenzi # kabla ya mtu yeyote kumtambua mwenzake Wakati huu wa siku unaweza elezwa kama giza # kuweka mzigo juu yake Kiasi cha nafaka kilikuwa kikubwa hadi Ruthi alihitaji msaada kubeba